Post

Nimeongea Swahili Tangu Utotoni

You don't have to comment if you don't understand . .

saa hizi naishi afrika mashariki, tangu nikuwe hapa Ep nimepata rafiki wengi hapa lakini hakuna mtu hapa mwenye anaongea swahili, hii ni sawa sababu siitumi hii lugha wakati wote.

 . . . ukweli ni katika sekondari sikukuwa mwanafunzi bora kwenye hii lugha lakininikaa jittii sabuni na kusomea hiyo mtihani wa mwisho na kupita hiyo mtihani wangu wa kiswahili . . .

That's about it . . .

deleted deleted 26-30 3 Responses Jun 13, 2009

Your Response

Cancel

Habari za Kushinda, mimi naishi England for 20years

London kuna wasema Kiswahili. Nimefurahi

Kuhusikana na juhudi hi ya kufunguwa

Hi website. Alioleta filira hi mungu amzidishiye

Baraka. Kwamana Kiswahili niligha yakwanza

In africa that is my view.sina mengi kwa Leo

Tutazidi tena maranyingine asanteni.&

Here is your answer: Jambo, nakuona kuwa mlimbwende

I wanna know how to say "hello,, I think you are pretty cool" ;)Pls let me know if you could translate it !